ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 185
                                               

Clara Sherman

Clara Nezbah Sherman alikuwa msanii wa Navajo anayejulikana sana kwa vitambaa vyake vya Navajo. Alizaliwa Nezbah Gould, mama yake alikuwa wa Hashtłishnii ukoo, na baba yake alikuwa wa Naashashí Dineé. Alikuwa mwanachama wa mwisho wa ndugu kumi ik ...

                                               

Chiyonofuji Mitsugu

Chiyonofuji Mitsugu, alizaliwa 1 Juni 1955, kama Mitsugu Akimoto Katika Hokkaido, Ujapani, ni bingwa wa zamani wa Sumo wrestler na 58 yokozuna ya mchezo. Yeye sasa ni kocha mkuu wa Kokonoe imara. Chiyonofuji alikuwa mmoja wa mkuu wa hivi karibuni ...

                                               

SaRaha

Sara Larsson alizaliwa 1983 Juni 26, anajulikana kwa jina la kisanii la SaRaha ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za kiSweden-Tanzania. Alianza kutambulika Swedeni mwaka 2016 katika tamasha la Melodifestivalen.

                                               

Kidole

Kidole ni kiungo cha mwili kilichopo kwenye ncha ya mkono na mguu. Kwa kawaida mwanadamu huwa na vidole 5 kwenye kila mkono na kila mguu. Vidole vya mkononi vinakua kutoka kiganja vinaitwa kwa majina kama vile kidole gumba, kidole cha shahada, ki ...

                                               

Ngumi

Ngumi ni hali ya mkono ukifumbatwa, yaani kwa kukunja vidole pamoja na kiganja. Kusudi la kukunja ngumi ni mara nyingi kupiga kwa nguvu, au kujiandaa kwa kupiga. Kutokana na maana hii ngumi inakunjwa pia kama alama ya hasira au ya upinzani, kwa m ...

                                               

Esopi

Kigezo:Tfm Esopi, pia Aesop kutoka kwa Kigiriki Αἴσωπος, Aisopos, alikuwa mshairi wa Ugiriki wa Kale. Ni maarufu kwa ngano zake. Anasemekana alikuwa mtumwa mwenye asili ya Thrakia ambaye aliishi kutoka karibu 620 KK hadi 560 KK katika Ugiriki ya ...

                                               

Cagliari Calcio

Cagliari Calcio ni klabu ya mpira wa miguu huko Italia. Klabu hii kwa sasa inacheza katika Serie A. Uchezaji bora wa klabu hiyo Ulaya ulionekana kwenye mashindano ya kuwania Kombe la UEFA la mwaka 1993-94, ilitolewa na klabu ya Inter milan katika ...

                                               

AFC Leopards

AFC Leopards SC, mara nyingi hujulikana kama "AFC" au "the Leopards," ni klabu ya soka, mjini Nairobi, ambayo ilianzishwa mwaka wa 1964. Jina lake lingine ni "ingwe", ni klabu maarufu na ya kitamaduni ya Kenya na uwanja wake wa nyumbani ni Uwanja ...

                                               

Mathare United

Mathare United ni klabu ya kandanda nchini Kenya yenye makazi katika mtaa wa mabanda wa Mathare katika mji mkuu wa Nairobi. Wao ni mwanachama wa zamu wa ligi kuu ya Kenya katika kandanda ya Kenya. Uwanja ambao wao hutumia kwa mechi zao za nyumban ...

                                               

Sofapaka

Klabu ya Sofapaka, ni klabu ya mpira wa miguu yenye makao yake mjini Nairobi. Wao hucheza michezo yao ya nyumbani katika Uwanja wa Taifa wa nyayo. Kilianzishwa kutoka katika timu ya ushirika wa wanaume wa M.A.O.S iliyoanzishwa mwaka wa 2002, amba ...

                                               

Tusker FC

Tusker FC ni klabu ya kandanda yenye makao yake katika mji mkuu wa Nairobi nchini Kenya. Ni klabu ya tatu iliyofanikiwa zaidi nchini Kenya kwani ina ligi nane za michuano ya Kenya na tatu za Kombe ya Kenya. Aidha, imeshinda mataji manne katika ko ...

                                               

Western Stima

Western Stima Football Club ni kilabu cha soka nchini Kenya kilicho na makao mjini Kakamega. Kilabu hiki huchezea mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Bukhungu Stadium, na pia katika uwanja wa Moi Stadium mjini Kisumu - viwanja vyote vikiwa na ...

                                               

Dodoma F.C.

Dodoma F.C. ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo Mkoa wa Dodoma. Mwaka 2020 ilifaulu kuingia Ligi Kuu Tanzania Bara. Tangu mwaka 2019 jina rasmi ni Dodoma Jiji F.C. ". Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Do ...

                                               

Gwambina F.C.

Gwambina F.C. ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo Mkoa wa Mwanza. Ilianzishwa mwaka 2019 ikafaulu kupanda juu na kuingia Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye mwaka 2020. Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Gwambina.

                                               

Singida United F.C.

Singida United ni klabu ya soka inayocheza Ligi Kuu Tanzania Bara yenye makao yake huko Singida. Wanatumia uwanja wa Namfua uliopo Singida kwa mechi zake za nyumbani. Katika ligi daraja la pili, Singida United walishinda taji hilo kwa mara ya pil ...

                                               

Young Africans S.C

Young Africans S.C. ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani Timu ya Wananchi au Wanajangwani. Imepata kuwa mabingwa mara 27 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa A ...

                                               

Chelsea F.C.

Chelsea Football Club ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Uingereza iliyo na maskani yake Fulham, London. Klabu hii ilianzishwa mwaka 1905, na kwa miaka mingi sana imekuwa ikishiriki ligi kuu ya Uingereza. Uwanja wao wa nyumbani ni Stamford Brid ...

                                               

Hip hop ya Kitanzania

Hip hop ya Kitanzania kwa ujumla hujulikana kama Bongo Flava. Bongo Flava inajumuisha midungo mikubwa mbalimbali, lakini inafahamika sana kwa ushiriki wake katika pop ya Kitanzania. Kumekuwa na mdahalo juu ya Bongo Flava, ambayo imeunganisha na k ...

                                               

Gangwe Mobb

Gangwe Mobb ni kundi la muziki wa hip hop ya Kitanzania. Kundi linatokea katika maeneo ya Temeke Mikoroshini huko mjini Dar es Salaam. Kundi linaunganishwa na wanachama wawili ambao ni: Inspector Haroun na Luteni Karama. Kundi hili lilianzishwa m ...

                                               

Amaru Entertainment

Amaru Entertainment ilianzishwa na mamake Tupac Shakur, Afeni Shakur, mwanzoni mwa mwaka wa 1997 ili kudhiti haki za kazi za Tupac Shakur ambazo hazitolewa na zile alizotengeneza kabla ya kifo chake mnamo tar. 13 Septemba, 1996. Baada ya kifo cha ...

                                               

Ziara ya Face to Face

Ziara ya Face to Face ni tamasha la 5 la kundi la Westlife. Katika ziara hii, wanamuziki hawa waliweka malengo ya kufanya matamasha katika viwanja vidogo zaidi ili kuweka maana ya jina la zaira hii, ya "Face To Face." Video ya tamasha hili imeten ...

                                               

Forever (wimbo)

"Forever" ni jina la wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Mayestron. Wimbo umetayarishwa na Mayestron mwenyewe kupitia studio yake ya COP Record Entertainment nchini Ireland. Wimbo huu ulifanyiwa usambazaji na kampuni ...

                                               

Moneygram

MoneyGram International, Inc ni kampuni ambayo hutoa huduma za kifedha ina makao yake makuu huko Minneapolis,Minnesota nchini Marekani. Ina vifaa ziada katika sehemu ya Brooklyn Center, Minnesota, Lakewood, Colorado na ofisi za kimataifa katika z ...

                                               

Kampuni ya Magazeti ya Community

Kampuni ya Magazeti ya Community, ni kampuni ndogo shirika ya GateHouse Media ambayo huchapisha magazeti katika eneo la mashariki ya Massachusetts. Ilianzishwa katika mwaka wa 1991 kama kampuni ya kuendesha kampuni kadhaa za uchapishaji na ikanun ...

                                               

Toyota, Aichi

Mji wa Koromo 挙母市, ulilotangulia Toyota, ulikuwa maarufu kwa utayarishaji kuu ya hariri na akafanikiwa katika kanda Mikawa kutoka Meiji Era kupitia kipindi Taishō. Baada ya mahitaji ya hariri malighafi kupungua katika Ujapani na nje ya nchi, m ...

                                               

City Airport Train (CAT)

Treni ya Uwanja wa Ndege wa Jiji, kwa kifupi: CAT, Kiingereza: City Airport Train, ni treni ya kusafirisha ya Austria ambayo husafiri kati ya jiji la Vienna hadi Uwanja wa Ndege wa Vienna-Schwechat huko Austria ya Chini. Treni hiyo hutumiwa kuung ...

                                               

Aniene

"Anio", Encyclopædia Britannica, 9th ed., Vol. II, New York: Charles Scribners Sons, 1878, p. 57. Schnitter, Niklaus 1978, "Römische Talsperren", Antike Welt 8 2: 25–32 Smith, Norman 1970, "The Roman Dams of Subiaco", Technology and Culture 11 1: ...

                                               

Mto Niagara

Mto Niagara ni mto wa Amerika ya Kaskazini. Ni mto mfupi baina ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario wenye urefu wa km 56. Mto huo unapatikana kati ya Kanada Ontario na Marekani New York. Maporomoko ya Niagara kwa Kiingereza: Niagara Falls ni maporomoko m ...

                                               

Bustani ya Jeevanjee

Bustani ya Jeevanjee ni bustani ya umma katika kitovu cha jiji la Nairobi, Kenya. Bustani ya Jeevanjee ilianzishwa na Alibhai Mulla Jeevanjee, mfanyabiashara mzaliwa wa Karachi, Pakistani aliyefika wakati wa ujenzi wa reli ya Uganda nchini Kenya. ...

                                               

Ikulu ya Kenya

Ikulu ya Kenya ni makazi rasmi ya Rais wa Kenya. Ilikuwa ni makazi ya Waziri Mkuu wa Kenya kutoka uhuru, tarehe 12 Disemba 1963 hadi Kenya ilipogeuka kuwa jamhuri tarehe 12 Disemba 1964. Imekuwa makazi ya rais tangu siku ya kutangaza jamhuri.

                                               

Kamiti

Kamiti ni gereza kubwa lililoko Kenya, njia ya kwenda Kiambu. Hapa wengi waliokataa utawala wa kifua uliokuwa ukiendezwa na Mstaafu rais Moi walifungiwa hapa. Kwa muhtasari tu, Ngugi wa Thiongo, Koigi wa Wamwere walifungiwa hapa bila ya hatia na ...

                                               

Karen, Kenya

Karen ni kitongoji cha Nairobi nchini Kenya, kilichoko kusini magharibi ya katikati mwa jiji. Inaaminika kwa ujumla kwamba kitongoji kimetajwa baada ya Karen Blixen, mwandishi kutoka Denmark wa kitabu cha makala ya kumbukumbu za kikoloni Out of A ...

                                               

Maasai Market

Maasai Market ni mojawapo ya soko zinazojulikana zaidi mjini Nairobi. Soko hili hushughulika na uuzaji wa michoro, nakshi, vito, maguo yenye asili ya kiafrika na kadhalika. Maasai Market liko katika jiji la Nairobi kinyume cha njia ya kuzunguka k ...

                                               

Uhuru Gardens

Uhuru Gardens ni eneo la burudani lililoko karibu na Wilson Airport, barabara ya Langata. Bustani hii ni kumbukumbu kubwa zaidi mjini Nairobi ya vita vya uhuru nchini Kenya. Sanamu ya Uhuru limejengwa pahali Uhuru kutoka kwa uingereza ulitangazwa ...

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Bondo

Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007 Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992 Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002 Maeneo bunge ya Kenya Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997 Oginga Odinga Oburu Odinga

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Rarieda

Jimbo la Uchaguzi la Rarieda ni mojawapo ya majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo mawili ya Wilaya ya Bondo. Eneo lote la Jimbo hili liko chini ya baraza la Bondo County.

                                               

Eneo la uchaguzi la Bonchari

Bonchari ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo ya majimbo manne katika Wilaya ya Kisii. Jimbo hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Kitutu Chache

Kitutu Chache ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja ya Majimbo manne katika wilaya ya Kisii Aliyekuwa Waziri wa Maswala ya Nchi za Kigeni Zachary Onyonka alikuwa akiliwakilisha jimbo hili kama mbunge, ingawa awali alikuwa ameliwakilisha jimb ...

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Kitui Kusini

Jimbo la Uchaguzi la Kitui Kusini ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo manne ya Wilaya ya Kitui, Mkoani Mashariki nchini Kenya. Lina wodi sita, zote zikichagua madiwani kwa baraza la Kitui County.

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Kitui ya Kati

Jimbo la Uchaguzi la Kitui ya Kati ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo manne ya Wilaya ya Kitui mkoani Mashariki.

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Mutito

Jimbo la Uchaguzi la Mutito ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ambalo ni miongoni mwa majimbo manne katika Wilaya ya Kitui, lina wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Kitui County.

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Makueni

Jimbo la Uchaguzi la Makueni ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Kenya. Linapatikana katika Wilaya ya Makueni iliyoko mkoani Mashariki, miongoni mwa majimbo matano ya uchaguzi katika wilaya hiyo.

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Muhoroni

Jimbo la Uchaguzi la Muhoroni ni mojawapo ya majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Nyando Mkoani Nyanza, miongoni mwa majimbo matatu ya wilaya hiyo.

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Nyakach

Nyakach ni Jimbo la uchaguzi la Kenya linalopatikana katika Wilaya ya Nyando. Jimbo hili lina Wadi tisa, zote zikiwatuma madiwani katika Baraza la mtaa Nyando County.

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Alego

Alego ni mojawapo ya majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. JImbo lili linapatikana katika Wilaya ya Siaya na ni mojawapo ya majimbo matatu ya Uchaguzi katika wilaya hiyo. Liinashirikisha wodi 13 za udiwani, tano kati yao zikiwachagua madiwani kwa ...

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Ugenya

Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002 Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997 Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992 Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007 James Orengo Maeneo bunge ya Kenya

                                               

Jimbo la Uchaguzi la Eldoret Kaskazini

Eldoret Kaskazini ni jimbo la uchaguzi nchini kenya Ni moja kati ya Majimbo matatu ya Uchaguzi katika Wilaya ya Uasin Gishu. Eneo hili lillianzishwa kwa uchaguzi mkuu wa 1966. Mbunge wa sasa wa Jimbo hili ni William Ruto, mwanasiasa maarufu nchin ...

                                               

Orodha ya miji mikuu ya majimbo ya Marekani

Hii ni orodha ya miji mikuu ya majimbo ya Marekani. Kila mji ni kituo cha serikali ya muungano wa majimbo ya Marekani, kikawaida imewekwa kingazi. Yaani, mji mkuu, jimbo, na kadhalika.

                                               

Chicago

Chicago ni mji mkubwa wa jimbo la Illinois na pia mji mkubwa wa tatu nchini Marekani, bada tu ya New York na Los Angeles. Iko kando ya Ziwa Michigan. Idadi ya wakazi ni 2.900.000 ; pamoja na rundiko la mji ni watu milioni tisa. Ni mji muhimu wa b ...

                                               

Cambridge, Massachusetts

Tazama pia Cambridge na Cambridge, Ontario Cambridge ni mji wa Marekani katika jimbo la Massachusetts ambayo ni sehemu ya rundiko la jiji la Boston. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 100.000 wanaoishi ka ...