ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 182
                                               

Anatolia

Anatolia ni rasi kubwa katika Asia ya Magharibi kati ya Bahari ya Mediteranea na Bahari Nyeusi. Eneo lake ni sehemu kubwa ya Uturuki upande wa Asia. Jina la Kale ni "Asia Minor" kilat. au Asia Ndogo". Katika historia mataifa mengi yaliishi Anatol ...

                                               

Rasi ya Skandinavia

Rasi ya Skandinavia ni rasi kubwa kaskazini mwa Ulaya. Inazungukwa na Bahari Atlantiki upande wa magharibi na kaskazini, halafu na Bahari ya Baltiki upande wa kusini na mashariki. Inaunganishwa na Ulaya bara upande wa kaskazini-mashariki takriban ...

                                               

Bendera ya Iceland

Bendera ya Iceland imepatikana tangu mwaka 1915. Ina rangi ya buluu ikionyesha msalaba mweupe ndani yake. Ndani ya msalaba nyeupe kuna msalaba mwembamba zaidi nyekundu. Muundo wa bendera ni ile ya bendera zote za Skandinavia zinazofuatamfano wa b ...

                                               

Bendera ya Denmark

Bendera ya Denmark au Danebrog ni ya rangi nyekundu yenye msalaba mweupe ndani yake. Muundo wa bendera hii imechukuliwa kama mfano na nchi zote za Skandinavia. Danebrog inasemekana kuwa bendera ya kitaifa ya kale ya dunia inayoendelea kutumiwa ta ...

                                               

Bendera ya Monako

Bendera ya Monako ina milia miwili ya kulala ya nyekundu na nyeupe. Rangi hizi mbili zimepatikana katika nembo ya familia ya Grimaldi tangu mwaka 1339. Muundo wa bendera uliopo ulianzishwa rasmi mwaka 1881.

                                               

Bendera ya Poland

Bendera ya Poland ni ya milia miwili ya kulala yenye rangi za nyeupe na nyekundu. Mlia mweupe uko upande wa juu, mlia mwekundu uko chini. Bendera ilianzishwa kwa azimio la Bunge la Poland mwaka 1831. Rangi hizi mbili zilipatikana katika nembo ya ...

                                               

Bendera ya Slovenia

Bendera ya Slovenia ina milia mitatu ya kulala katika rangi za Umoja wa Waslavi nyeupe-buluu-nyekundu pamoja na ngao ya nembo la kitaifa juu ya milia miwili ya juu. Bendera hili lilianzishwa tangu Juni 1991. Kuna pendekezo la kuwa na bendera jipy ...

                                               

Bendera ya Ubelgiji

Bendera ya Ubelgiji ina milia mitatu ya wima ya rangi neyusi - dhahabu na nyekundu. Muundo wa wima umetokana na mfano wa bendera ya Ufaransa, rangi ni za kihistoria za utemi wa Brabant. Rangi hizi za kihistoria zilikuwa muhimu wakati wa uasi wa W ...

                                               

Bendera ya Ufaransa

Bendera ya Ufaransa ina milia mitatu ya kusimama katika rangi za buluu - nyeupe - nyekundu. Imeanzishwa wakati wa mapinduzi ya Ufaransa kabla ya mwaka 1794. Rangi nyeupe ilikuwa rangi ya kifalme. Rangi za nyekundu na buluu zilikuwa rangi za mji w ...

                                               

Bendera ya Uingereza

Bendera ya Uingereza ni msalaba mwekundu kwenye uga nyeupe. Msalaba ni ya aina ya Mt. George yaani mikono yake hukutana katikati. Msalaba wa Mt. George humkumbusha mtakatifu huyu wa historia ya Ukristo anayesemekana amemwua joka. Ndiye mtakatifu ...

                                               

Bendera ya Uskoti

Bendera ya Uskoti ina rangi ya buluu pamoja na msalaba wa Andrea mweupe. Huu ni msalaba unaolala wenye umbo la "X". Bendera ya Uskoti ni kati ya bendera za kale kabisa duniani.

                                               

Bendera ya Uswidi

Bendera ya Uswidi ni ya rangi buluu yenye msalaba njano wa kulala. Muundo wake umefuata muundo wa Danebrog ya Denmark jinsi ilivyo na bendera zote za Skandinavia. Chaguo la rangi kimetokana na nembo ya mfalme wa Uswidi. Bendera imepatikana tangu ...

                                               

Artsakh

Artsakh ni nchi isiyotambuliwa na mataifa mengine kama nchi huru kwenye milima ya Kaukazi kusini. Mwaka 2020 vita vilizuka tena na kumalizika kwa Azerbaijan kutwaa sehemu kubwa ya eneo hilo la kwake kisheria. Kabla ya vita hivyo, eneo lake liliku ...

                                               

Nembo ya Slovenia

Nembo ya Slovenia ni ngao ya buluu inayoonyesha mlima wa Triglaff ambao ni mlima mkubwa wa nchi yenye ncha tatu. Mlima unakatwa na mistari miwili ya buluu inayodokeza kwa mawimbi wa bahari ya Adria. Juu yake kuna nyota tatu za rangi ya dhahabu ku ...

                                               

Kisiwa cha Alexander

Kisiwa cha Alexander ni kisiwa kikubwa zaidi cha Antaktiki. Kiko kwenye Bahari ya Bellingshausen upande wa magharibi wa Rasi ya Antaktiki. Kimetengwa na rasi na mkono wa bahari unaoitwa "mfereji wa George VI" wenye upana wa km 24 hadi 64. Kisiwa ...

                                               

Anjouan

Anjouan au Nzwani ni moja kati ya visiwa vinne vya funguvisiwa vya Komori. Eneo lake ni 424 km² na jumla kuna wakazi 240.000. Ni jimbo la kujitawala ndani ya jamhuri ya Komori. Mji mkuu unaitwa Mutsamudu.

                                               

Mahore

Mahore ni kisiwa kikubwa cha eneo la ng’ambo la Ufaransa la Mayotte. Kisiwa cha pili ni Pamanzi. Mahore ina urefu wa 39 km na upana wa 22 km. Milima yake ni Mont Benara 660 m, Mont Choungui 594 m, Mont Mtsapere 572 m et Mont Combani 477. Mji mkub ...

                                               

Maskarena

Maskarena ni funguvisiwa katika Bahari Hindi takriban 900 km mashariki ya Madagaska. Kwa jumla ni visiwa vya dola la Morisi pamoja na kisiwa cha Kifaransa cha Réunion. Visiwa muhimu ni Morisi, Réunion, Rodrigues na Cargados Carajos. Asili ya jina ...

                                               

Mayotte

Mayotte ni eneo la ng’ambo la Ufaransa. Linaundwa na visiwa vya Mahore na Pamanzi pamoja na vingine vidogo. Eneo hili kijiografia ni hasa muungo wa funguvisiwa la Komoro lakini si kisiasa. Mayotte iko katika kaskazini ya Mfereji wa Msumbiji kweny ...

                                               

Pamanzi

Pamanzi ni kisiwa kidogo cha eneo la ng’ambo la Ufaransa la Mayotte. Kisiwa cha pili na kikubwa ni Mahore. Pamanzi ina eneo la 11 km². Mji mkubwa ni Dzaoudzi penye kiwanja cha ndege. Kijiografia kisiwa ni sehemu ya funguvisiwa ya Komoro.

                                               

Saint Helena

Saint Helena ni kisiwa cha bahari ya Atlantiki ya kusini chenye eneo la km² 122. Umbali na Angola ni km 1.868, ni km 3.290 hadi Brazil Amerika ya Kusini. Kisiwa, chenye asili ya kivolkeno, kimo ndani ya beseni la Angola la Atlantiki, hivyo huhesa ...

                                               

Azori

Azori kwa Kireno: Ilhas dos Açores - Visiwa vya vipanga ni funguvisiwa la Ureno lenye visiwa tisa vikubwa na vingine vidogo katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Ni jimbo la kujitawala l ...

                                               

Bressay

Bressay ni kisiwa cha funguvisiwa ya Shetland, upande wa kaskazini ya Uskoti. Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti. Visiwa vya Shetland viko baharini kati ya Visiwa vya Faroe na Visiwa vya Orkney. Funguvisiwa hii iko mpakani kati ya Bahari Atlantiki ...

                                               

Corvo (Azori)

Corvo ni kisiwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hali halisi ni v ...

                                               

Faial

Faial ni kisiwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hali halisi ni v ...

                                               

Fetlar

Fetlar ni kisiwa cha funguvisiwa ya Shetland, upande wa kaskazini ya Uskoti. Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti. Visiwa vya Shetland viko baharini kati ya Visiwa vya Faroe na Visiwa vya Orkney. Funguvisiwa hii iko mpakani kati ya Bahari Atlantiki ...

                                               

Flores (Ureno)

Flores ni kisiwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hali halisi ni ...

                                               

Graciosa (Azori)

Graciosa ni kisiwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hali halisi n ...

                                               

Kisiwa cha Mainland

Mainland ndicho kisiwa kikuu cha funguvisiwa ya Shetland, upande wa kaskazini ya Uskoti. Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti. Visiwa vya Shetland viko baharini kati ya Visiwa vya Faroe na Visiwa vya Orkney. Funguvisiwa hii iko mpakani kati ya Bahar ...

                                               

Pico

Pico ni kisiwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hali halisi ni vi ...

                                               

Santa Maria (Azori)

Santa Maria ni kisiwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hali halis ...

                                               

São Jorge

São Jorge ni kisiwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hali halisi ...

                                               

São Miguel

São Miguel ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hal ...

                                               

Terceira

Terceira ni kisiwa cha funguvisiwa la Azori ambalo ni jimbo la kujitawala la Ureno ingawa liko katika Atlantiki takriban km 1.500 magharibi ya Ulaya na 3.600 mashariki ya Amerika ya Kaskazini. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno; hali halisi n ...

                                               

Unst

Unst ni kisiwa cha funguvisiwa ya Shetland, upande wa kaskazini ya Uskoti. Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti. Visiwa vya Shetland viko baharini kati ya Visiwa vya Faroe na Visiwa vya Orkney. Funguvisiwa hii iko mpakani kati ya Bahari Atlantiki up ...

                                               

Visiwa vya Orkney

Visiwa vya Orkney ni funguvisiwa upande wa kaskazini ya Uskoti. Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti. Visiwa vya Orkney viko baharini kati ya Britania na Visiwa vya Shetland.

                                               

Whalsay

Whalsay ni kisiwa cha funguvisiwa ya Shetland, upande wa kaskazini ya Uskoti. Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti. Visiwa vya Shetland viko baharini kati ya Visiwa vya Faroe na Visiwa vya Orkney. Funguvisiwa hii iko mpakani kati ya Bahari Atlantiki ...

                                               

Yell

Yell ni kisiwa cha funguvisiwa ya Shetland, upande wa kaskazini ya Uskoti. Inahesabiwa kuwa sehemu ya Uskoti. Visiwa vya Shetland viko baharini kati ya Visiwa vya Faroe na Visiwa vya Orkney. Funguvisiwa hii iko mpakani kati ya Bahari Atlantiki up ...

                                               

Visiwa vya Cocos (Keeling)

Visiwa vya Cocos ni eneo la ngambo la Australia katika Bahari Hindi. Eneo lao ni atolli mbili katikati ya Australia na Sri Lanka, takriban 3685 km upande wa magharibi ya Durban na 1.300 km upande wa kusini ya Singapur. Anwani ya kijiografia ni 12 ...

                                               

Funafuti

Funafuti ni mji mkuu wa nchi ya visiwa ya Tuvalu. Ina wakazi 4.492. Mji upo kwenye atolli ya Funafuti ambayo inafanywa na visiwa zaidi ya 30 ambavyo ni vyembamba vikiwa na upana kati ya mita 20 hadi 400 pekee. Wenyeji huishi katika vijiji 9 ambav ...

                                               

Kirimba (visiwa)

Visiwa vya Kirimba ni funguvisiwa katika Bahari Hindi mbele ya mwambao wa Msumbiji wa kaskazini, kusini ya rasi ya Delgado. Inafuata mwendo wa pwani kwa umbali wa 180 km hadi mji wa Pemba. Umbali na pwani ni kati ya 12 na 20 km. Idadi ya visiwa n ...

                                               

Kisiwa cha Krismasi

Kisiwa cha Krismasi ni eneo dogo la Australia katika Bahari Hindi takriban 500 km upande wa kusini ya Jakarta mji mkuu wa Indonesia na 2.400 km kaskazini ya Australia yenyewe. Kuna wakazi 1.600 wanokalia vijiji katika kaskazini ya kisiwa. Theluth ...

                                               

Lakshadweep

Lakshadweep ni eneo la muungano la jamhuri ya India. Linaundwa na funguvisiwa la bahari ya Hindi lililojulikana kwanza kama Laccadive. Liko kilometa 200/440 kutoka pwani ya kusini-magharibi ya India. Eneo lote ni la kilometa mraba 32 tu. Makao ma ...

                                               

Mahé

Mahé ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa vya Shelisheli. Urefu wake ni 28 km na upana wake 8 km. Eneo lake ni 154.7 km². Mahe ina wakazi 72.000 ambao ni sawa na asilimia 90 za wakazi wote wa Shelisheli. Mji mkubwa ni Victoria ambayo ni pia mji mkuu ...

                                               

Mwali

Mohéli inayoitwa pia Mwali ni moja kati ya visiwa vitatu vinavyounda nchi ya kisiwani ya Komori katika Bahari Hindi. Moheli ni kisiwa kidogo kati ya visiwa vikuu vya Komori. Idadi ya wakazi wake ni mnamo watu 38.000 mwaka 2006. Mji mkuu ni Fombon ...

                                               

Sokotra

Sokotra ni funguvisiwa ndogo ya Yemen katika Bahari Hindi kati ya Somalia na Bara Arabu. Sokotra ni hasa jina la kisiwa kikubwa cha funguvisiwa hii.

                                               

Visiwa vya Andamani na Nikobari

Visiwa vya Andamani na Nikobari ni eneo la muungano wa jamhuri ya India. Linaundwa na mafunguvisiwa ya Andamani na Nikobari kwenye Bahari ya Hindi, isipokuwa visiwa vichache vilivyo chini ya Myanmar. Kwa jumla ni kilometa mraba 8.249. Wakazi ni 3 ...

                                               

Îles Éparses

Îles éparses ni atolli na visiwa vidogo katika Bahari Hindi vinavyotawaliwa na Ufaransa. Haviko chini ya mkoa wowote au kitengo kingine kati ya maeneo ya ngambo ya Ufaransa. Havihesabiwi kama mkoa wa pekee kwa sababu hakuna wakazi asilia isipokuw ...

                                               

Tobago

Tobago ni kisiwa cha Karibi kinachounda na Trinidad na visiwa vingine vidogo nchi huru ya Trinidad na Tobago. Eneo lake ni la Km² 300, na linakaliwa na watu 60.874, wengi wakiwa na asili ya Afrika.

                                               

Trinidad (kisiwa)

Trinidad ni kisiwa cha Karibi, cha tano kwa ukubwa, kinachounda na Tobago na visiwa vingine vidogo nchi huru ya Trinidad na Tobago. Eneo lake ni la Km² 4.768, na linakaliwa na watu 1.300.000, wengi wakiwa na asili ya India na Afrika.