ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 179
                                               

Bahari ya Arafura

Majiranukta kwenye ramani: 9°30′S 135°0′E Bahari ya Arafura kwa Kiingereza: Arafura Sea inapatikana katika magharibi ya Bahari Pasifiki, kati ya Australia na Guinea Mpya. Urefu wake ni kilomita 1.290 ikiwa na upana wa km 560. Kina cha maji si kir ...

                                               

Bahari ya Matumbawe

Bahari ya Matumbawe ni sehemu ya Bahari Pasifiki mbele ya pwani ya kaskazini-mashariki ya Australia. Inapakana na Australia, Papua Guinea Mpya, Visiwa vya Solomon na Kaledonia Mpya. Tabianchi ni ya joto, usimbishaji ni kati ya milimita za mvua 1. ...

                                               

Brisbane

Brisbane ni mji mkubwa wa tatu wa Australia na mji mkuu wa jimbo la Queensland katika kaskazini ya nchi. Idadi ya wakazi ni mnamo 1.730.000. Iko kando la mto Brisbane na mdomo wake unapita mjini. Brisbane ulianzishwa 1824 kama makazi ya wafungwa ...

                                               

Great Dividing Range

Great Dividing Range au Nyanda za Juu za Mashariki, ndiyo safu ya milima kubwa zaidi kwenye bara la Australia. Inaenea kwa kilomita 3.500 sambamba na pwani ya mashariki la Australia, kuanzia Queensland ikipita Victoria hadi magharibi mwa Victoria ...

                                               

Perth

Perth ni mji mkuu wa jimbo la Australia Magharibi uliopo kwenye kingo za Mto Swan. Kuna wakazi karibu watu milioni 2.1 wanaoishi katika jiji hilo. Ni mji mkubwa wa nne huko Australia, baada ya Sydney, Melbourne na Brisbane. Perth ilianzishwa mnam ...

                                               

La Paz

La Paz ni mji mkubwa katika nyanda za juu za Bolivia na makao ya serikali na bunge. Hali halisi ni mji mkuu wa nchi hata kama katiba imetaja Sucre kama mji mkuu. Mji uko kwenye kimo cha mita 3.600 juu ya UB katika bonde la mto Chokeyapu linalohif ...

                                               

Sucre

Sucre ni mji mkuu wa kikatiba wa Bolivia na makao ya Mahakama Kuu ya nchi. Iko kwenye kusini ya nchi kwa kimo cha takriban mita 3.000 katika mkoa wa Chuquisaca. Idadi ya wakazi ni karibu watu 250.000. Mji uliundwa 1539 kwa jina la Ciudad de la Pl ...

                                               

Brasilia

Brasília ni mji mkuu wa Brazil mwenye wakazi 2.282.049. Ni mji mpya uliojengwa baada ya katika miaka 1956 - 1960 BK. Mji mkuu ulihamishwa kutoka Rio de Janeiro uliyoko pwani na kandokando la eneo la Brazil kwenda mji mpya wa Brasilia kuanzia mwak ...

                                               

Mto Sao Francisco

Mto Sao Francisco ni mto wa huko Brazil. Urefu wake ni karibu kilomita 3.100. Matawimto makuu yake ni mito Paropeba, Abaeté, das Velhas, Jequitaí, Paracatu, Urucuia, Verde Grande, Carinhanha, Corrente, na Grande. Ni mto mrefu kabisa unaopita ndan ...

                                               

Mto Tocantins

Mto Tocantins ni mto ambao unapita katika mashariki mwa nchi ya Brazil. Chanzo chake kinapatikana kwenye milima ya jimbo la Goiás upande wa magharibi wa mji mkuu Brazilia. Mto unaishia kwenye Rio Para ambayo ni hori ya Atlantiki ambako maji ya To ...

                                               

Nyanda za juu za Brazil

Nyanda za juu za Brazil ni eneo kubwa katika mashariki, kusini na katikati ya Brazil. Eneo lake ni kama theluthi ya nchi yote na sehemu kubwa ya watu wa Brazil wanaishi katika nyanda za juu au kwenye kanda nyembamba ya pwani iliyopo kati ya bahar ...

                                               

Rio Negro (Amazon)

Rio Negro ni mto ambao unapitia msitu wa mvua wa Amazonas katika kaskazini-magharibi ya Brazil, kwenye jimbo la Amazonas. Unaitwa Negro Kihispania na Kireno kwa "nyeusi" kwa sababu maji yake yanabeba vyembe vya ardhi ambavyo hufanya maji yaonekan ...

                                               

São Paulo

São Paulo ni jiji kubwa la Brazil pia jiji kubwa katika nusudunia ya kusini lenye wakazi zaidi ya milioni 10 jijini au karibu milioni 20 katika rundiko la jiji.

                                               

Mto Kagogo (Bujumbura)

Mto Kagogo unapatikana nchini Burundi. Maji yake huelekea ziwa Tanganyika, Mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

                                               

Mto Mwokora (Burundi)

Mto Mwokora unapatikana nchini Burundi. Maji yake huelekea ziwa Tanganyika, Mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

                                               

Mto Nyarubanda

Mto Nyarubanda unapatikana nchini Burundi. Maji yake huelekea Mto Ruvubu, Mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

                                               

Chengdu

Chengdu ni jiji kubwa la nne nchini China ikiwa na wakazi wapatao milioni 14 hadi 15. Ni makao makuu ya jimbo la Sichuan na kitovu muhimu cha uchumi na utamaduni magharibi mwa China. Chakula chake ni mashuhuri na watu wake hupenda pilipili. Kimat ...

                                               

Hailar

Hailar ni mji na wilaya ambayo hutumika kama makao makuu ya mkoa wa Hulunbuir, kaskazini mashariki mwa Inner Mongolia, Uchina. Hulunbuir, kwa sababu ya saizi yake kubwa, ni jiji kwa maneno ya kiutawala tu, likiwa hasa nyasi na vijiji. Kwa muda mr ...

                                               

Hong Kong

Hong Kong kwa Kichina: 香港 ni eneo lenye utawala wa pekee ndani ya Jamhuri ya Watu wa China. Iko upande wa mashariki wa delta ya Mto Zhu Jiang Pearl River, Mto Lulu unapoishia katika Bahari ya Kusini ya China. Inatazama bahari ya Uchina upande w ...

                                               

Jangwa la Taklamakan

Jangwa la Taklamakan ni jangwa kaskazini magharibi mwa China. Ni sehemu katika kusini magharibi mwa Mkoa wa Xinjiang. Upande wa kusini iko Milima ya Kunlun, upande wa magharibi na kaskazini Milima ya Pamir na milima ya Tian Shan.

                                               

Macau

Macau tamka: Makau; kwa Kichina: 澳門; pinyin: Àomén; Jyutping: Ou3 Mun4 ni eneo dogo la Jamhuri ya Watu wa China lenye utawala wa pekee kwenye pwani ya Bahari ya Kusini ya China. Hali halisi eneo ni rasi ya Macau pamoja na visiwa viwili vidogo, ...

                                               

Maporomoko ya Huangguoshu

Maporomoko ya Huangguoshu ni mojawapo ya maporomoko maarufu yenye maajabu zaidi duniani. Maporomo ya Huangguoshu yanapatikana bara la Asia nchini China: ni mojawapo ya maporomoko 18 yanayopatikana huko China sehemu inayoitwa Guizhou. Asili ya nen ...

                                               

Mto Liao

Mto Liao ni mto mkuu kusini mwa eneo la Manchuria nchini China. Liao ni moja kati ya mito mikuu saba ya China. Majina ya majimbo ya Liaoning na rasi ya Liaodong yametokana na mto huo. Mto huo pia unajulikana kama "mto mama" huko kaskazini mashari ...

                                               

Mto Njano

Mto Njano ni mto mkubwa wa China ya Kaskazini, mto mkubwa wa pili wa China yote na mto mrefu wa nane duniani. Jina limetokana na rangi ya matope ya ardhi unamopita. Mwendo wake una urefu wa kilomita mnamo 5.000 viwango mbalimbali hutajwa kati ya ...

                                               

Mto Zhu Jiang

Majiranukta kwenye ramani: 22°46′N 113°38′E Mto Zhu Jiang ni jina la delta kubwa ya mito mbalimbali inayoishia kwenye Bahari ya China Kusini, na pia jina la pamoja kwa mfumo wa mito inayoungana hapa. Mito hiyo hujulikana kama mito ya Xi "Magharib ...

                                               

Nyanda za juu za Tibet

Nyanda za juu za Tibet ni eneo kubwa la milima na tambarare ambayo ni angalau mita 4.000 au zaidi juu ya usawa wa bahari katika Asia ya Kati. Zinaenea katika Mkoa wa Tibet wa China, Mkoa wa Qinghai nchini China, na Ladakh huko Kashmir, Uhindi. Se ...

                                               

Shanghai

Shanghai ni mji mkubwa kuliko yote nchini China wenye wakazi milioni 14 ambao pamoja na rundiko la jiji ni takriban milioni 20. Iko mdomoni mwa mto Yangtze. Katika historia ilikuwa bandari muhimu. Wakati wa karne ya 19 China ililazimishwa na Uing ...

                                               

Taiwan

Taiwan ni kisiwa cha Asia ya Mashariki katika Pasifiki. Iko upande wa kusini-mashariki ya China, kusini ya Japani na kaskazini ya Ufilipino. Jina la zamani la Taiwan ilikuwa "Formosa" Taiwan ni pia sehemu kubwa ya eneo la Jamhuri ya China iliyoko ...

                                               

Tambarare ya China Kaskazini

Tambarare ya China Kaskazini ni tambarare kubwa nchini China. Inaenea katika kaskazini ya China pande zote mbili za Mto Njano. Asili ya tambarare hii ni bonde kubwa lililojazwa polepole na mashapo ya Mto Njano katika kipindi cha miaka milioni kad ...

                                               

Tianjin

Tianjin, ni mji mkubwa katika China kaskazini. Idadi ya wakazi ni 11.760.000 wanaoishi kwenye eneo la kilomita za mraba 11.917. Mji huu ulianzishwa mwaka 1403 na kaisari Yongle kilomita 137 kutoka Beijing karibu na mdomo wa Mto Hai katika Bahari ...

                                               

Uchina Bara

Uchina Bara ni sehemu ya Uchina bila kujumlisha Jamhuri ya China inayomiliki Taiwan, Kinmen, Matsu, na Pescadores. Hii pia inatoa sehemu ya Hong Kong na Macau. Wakati wa Nasaba ya Qing, sehemu yote ya Uchina Bara, Hong Kong, Macau, Taiwan, Kinmen ...

                                               

Wuhan

Wuhan ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Hubei. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 9.8 wanaoishi katika mji huu. Hivyo si mji mkubwa zaidi katika Hubei pekee, bali ni jiji kubwa zaidi katika ...

                                               

Yangtze (mto)

Mto Yangtze ni mto mkubwa nchini China na pia mto mrefu wa Asia yote. Duniani huhesabiwa kama mto mrefu wa tatu baada ya Amazonas na Naili). Mwendo wake wote wa kilomita 6.300 pamoja na kilomita 2.800 zinazotumiwa na meli uko ndani ya China. Chan ...

                                               

Ziwa Qinghai

Ziwa Qinghai ni ziwa kubwa zaidi nchini China. Iko katika Mkoa wa Qinghai uliopata jina lake kutoka kwa ziwa hili. Ziwa Qinghai ni ziwa la chumvi la magadi.

                                               

Catalonia

Catalonia ni jumuiya ya kujitegemea nchini Hispania upande wa kaskazini-mashariki mwa Rasi ya Iberia, iliyochagua kuwa taifa huru, lakini serikali kuu ya Hispania imezuia kabisa. Imepakana na Ufaransa na Andorra kwa upande wa kaskazini, Bahari ya ...

                                               

Ceuta

Ceuta ni mji wa Kihispania kwenye pwani ya Mediteranea ambao upande wa bara unazungukwa na eneo la Moroko. Ceuta iko karibu na mji wa Tetouan upande wa Moroko. Umbali na Hispania ni km 21 kuvuka mlango wa bahari wa Gibraltar. Pamoja na mji wa Mel ...

                                               

Córdoba, Hispania

Cordoba ni mji wa kihistoria wa Andalusia kusini mwa Hispania kando ya mto Guadalquivir. Ni makao makuu ya mkoa wa Cordoba. Kuna wakazi 321.000.

                                               

Hispania

Hispania kwa lugha ya wenyewe: España, kwa Kiingereza Spain ni nchi ya Ulaya ya kusini-magharibi. Imepakana na Ufaransa, Andorra, Ureno na eneo la Kiingereza la Gibraltar. Kuna pwani ndefu ya Bahari ya Mediteranea na pia ya Atlantiki. Hispania ba ...

                                               

Madrid

Madrid iko katikati ya Hispania katika nyanda za juu za Castilia kwenye kimo cha m 667 m juu ya UB. Mto mdogo Manzanares unapita mjini. Kaskazini ya mji kuna milima ya Sierra de Guadarrama inayofikia kimo cha m 2.429.

                                               

Melilla

Melilla ni mji wa Hispania kwenye pwani ya Mediteranea unaozungukwa na eneo la Moroko upande wa bara. Umbali na Hispania bara ni takriban km 170 kuvuka bahari. Mji ulio karibu upande wa Moroko ni Nador kwenye umbali wa km 15. Pamoja na mji wa Ceu ...

                                               

San José (Almeria)

San José ni kijiji ndani ya mji wa Nijar katika lugha ya Kihispaniola katika jimbo la Almería kusini mwa Andalusia. Mji wa mapumziko maarufu iko katika Mtindo Park ya Cabo de Gata katika uliokithiri kusini-mashariki ya pwani ya Hispania, na aliku ...

                                               

Santa Cruz de Tenerife

Santa Cruz de Tenerife au kwa kifupi Santa Cruz ni makao makuu ya utawala wa kisiwa cha Tenerife na moja kati ya miji mikuu miwili ya funguvisiwa ya Visiwa vya Kanari inayojitawala ndani ya Hispania. Visiwa vya Kanari vimo katika sehemu ya Kiafri ...

                                               

Sierra Nevada, Hispania

Kuhusu milima nchini Marekani angalia hapa Sierra Nevada Sierra Nevada Kihispania kwa "milima ya theluji" ni safu ya milima katika mkoa wa Andalusia nchini Hispania. Mlima wake mkubwa ni pia mlima mkubwa kabisa wa Hispania ambao ni Mulhacén wenye ...

                                               

Zaragoza

Zaragoza ni mji wa Hispania, makao makuu ya Mkoa wa Zaragoza na ya jumuia ya kujitegemea ya Aragon. Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 706.904, katika eneo la km² 1062.64, ukiwa wa tano nchini kwa wingi wa watu, na wa 32 katika Umoja wa U ...

                                               

Budapest

Budapest ni mji mkuu wa Hungaria, pia mji wake mkubwa wenye wakazi milioni 1.7. Mto Danubi unatiririsha maji kupitia Budapest. Mji wa leo ulianzishwa mwaka 1873 kwa kuunganisha miji mitatu ya jirani ya Buda, Obuda na Pest.

                                               

Mto Boyne

Mto Boyne ni mto katika Leinster, Ireland, ambao mkondo wake una urefu wa kilomita 112. Huanzia katika kisima cha Trinity, Newbury Hall, karibu na Carbury, kata ya Kildare, na kuelekea Kaskazini kupitia Kata Meath kufikia Bahari Kiayalandi kati y ...

                                               

Apenini

Apenini ni safu ya milima inayounda uti wa mgongo wa rasi ya Italia kwa urefu wa km 1.200 na upana hadi km 250. Kwa kiasi kikubwa ni ya kijani, isipokuwa kwenye barafuto ya kilele kirefu zaidi, Corno Grande mita 2.912 juu ya usawa wa bahari. Vile ...

                                               

Milano

Milano ni mji mkubwa wa Italia ya kaskazini mwenye wakazi milioni 1.3. Rundiko la mji lina wakazi milioni 7.5. Ni mji mkuu wa eneo la Lombardia na kitovu cha uchumi na utamaduni.

                                               

Poveglia

Poveglia ni kisiwa kidogo kilicho kati ya Venice na Lido katika Lagoon la Venezia kaskazini mwa Italia. Kisiwa cha Poveglia kilionekana kwa mara ya kwanza katika rekodi ya kihistoria mnamo mwaka 421, na kilikuwa na watu wengi hadi wakazi walikimb ...

                                               

Rasi ya Italia

Rasi ya Italia au Rasi ya Apenini ni kati ya rasi kubwa za Ulaya, yenye urefu wa zaidi ya kilomita 1.000 kutoka milima ya Alpi hadi kuishia katikati ya Mediteranea. Iko kusini mwa Ulaya ikizungukwa na Bahari Mediteranea pande tatu. Umbo lake ni k ...