ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 129
                                               

ARIA Charts

ARIA Charts ni chati ya rekodi ya mauzo ya muziki wa Kiaustralia, hutolewa kila wiki na Australian Recording Industry Association. Chati hizo huchukua rekodi ya mauzo ya juu ya single na albamu za aina mbalimbali za muziki nchini Australia. ARIA ...

                                               

Arise O Compatriots, Nigerias Call Obey

Arise, O compatriots, Nigerias call obey To serve our fatherland With love and strength and faith The labour of our heroes past Shall never be in vain To serve with heart and might One nation bound in freedom, peace and unity. Oh God of creation, ...

                                               

Bad (wimbo)

Bad kilikuwa kibao kilichotamba kunako miaka ya 1987 ambacho kilirekodiwa na msanii wa muziki wa pop Michael Jackson. Kibao hiki kilikuwa cha pili katika vitano kuingia kwenye chati za Billboard Hot 100 na kushika nafasi ya kwanza kwa albamu ya B ...

                                               

Bad Boy Records

Bad Boy Records ni studio ya kurekodia muziki ya East Coast Hip-Hop/R&B iliyoanzishwa na mtayarishaji/rapa maarufu wa Kimarekani Bw. Sean "Diddy" Combs kunako mwaka wa 1993. Leo hii inaendesha shughuli zake za muziki ikiwa chini ya kampuni ya ...

                                               

Beautiful Eyes

Beautiful Eyes ni albamu ya EP iliyotolewa na msanii wa muziki wa country-pop Bi. Taylor Swift. Albamu ilitolewa mnamo tar. 15 Julai 2008. Na kwa tar. 27 Desemba 2008, kopo 232.792 ziliuza nchini Marekani.

                                               

Ben (albamu)

Ben ilikuwa albamu ya pili kutolewa na hayati mwimbaji na mtayarishaji muziki wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitokewa mnamo mwezi wa Agosti ya mwaka wa 1972, miezi saba tangu kutolewa kwa albamu yake ya kwanza ya Got to Be There. Kibao c ...

                                               

Ben (wimbo)

Ben ni wimbo namba moja uliotungwa na Don Black na Walter Scharf na kurekodiwa na bwana mdogo Michael Jackson katika studio ya Motown mnamo mwaka wa 1972. Kiasili, wimbo ulitungwa kwa ajili ya Donny Osmond, na badala yake akapewa Jackson kwa vile ...

                                               

The Best of Michael Jackson

The Best of Michael Jackson ni kompilesheni ya vibao vikali vya mwanamuziki Michael Jackson na ilitolewa mnamo mwaka wa 1975 na studio aliokuwa akifanyanayo kazi hapo zamani, Motown. Imeuza nakala milioni 2.2 kwa hesabu ya dunia nzima na kushika ...

                                               

Bigger and Deffer

Bigger and Deffer ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa LL Cool J na inakumbukwa sana kwa kuwa na "rap ballad" -liofanikiwa zaidi kibiashara, "I Need Love". Albamu pia imejumlisha single kali ya "Go Cut Creator Go", ambayo imetoa heshima kwa D ...

                                               

Black or White

Black or White ilikuwa single ya kwanza kuchukuliwa kwenye albamu ya Michael Jackson ya Dangerous, imetoka tarehe 11 Novemba katika mwaka wa 1991. Single hii ilipata kusifiwa kwamba ni wimbo bora wa rock uliouza sana kwenye miaka ya 1990. "Black ...

                                               

Blues

Blues ni aina ya muziki ambao ulianzia nchi Marekani mwanzoni kabisa mwa karne ya 20. Uliazishwa na watumwa wa zamani wa Kiafrika waliokuwa wakiimba nyimbo za kiroho, nyimbo za utukufu, na muziki wa chant.

                                               

Blunted on Reality

Blunted on Reality ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa hip hop la Marekani, The Fugees. Ingawa albamu ilimaliziwa kunako 1992, ikawa inarejeshwa kwa mara kadhaa hadi hapo ilipokuja kutolewa rasmi mwanzoni mwa mwaka wa 1994. Baada ya kupata ...

                                               

Boyz N Da Hood

Boyz N Da Hood ni kikundi cha rap ya Marekani Kusini cha gangsta Atlanta, Georgia. Zamani kiliitwa Bad Boy Record na ilikuwa na vijana kama Jeezy, Jody Breeze, Gorilla Zoe, Big Gee, na Big Duke. Wameshirikiana mara kadhaa na Atlanta wenzake, msan ...

                                               

Brooke Allison (albamu)

Brooke Allison ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya mwimbaji wa muziki wa pop wa Kimarekani Bi. Brooke Allison. Albamu ilitolewa mnamo tar. 19 Juni 2001. Albamu ina baadhi ya nyimbo zilizotungwa na msanii Mýa, Meredith Brooks na Allan Rich. Kati ...

                                               

Bump n Grind

Bump n Grind ni wimbo ulioandikwa, kutayarishwa na kuimbwa na mwanamuziki wa R&B R. Kelly. Ilikuwa single ya pili kutolewa katika albamu yake ya kwanza akiwa kama msanii wa kujitegemea ya 12 Play mnamo 1994. Wimbo umepata kuwa wimbo pekee wa ...

                                               

Butterflies (wimbo wa Michael Jackson)

Butterflies ni wimbo wa msanii wa rekodi za muziki Michael Jackson. Wimbo umetungwa na Marsha Ambrosius na mtayarishaji Andre Harris. Jackson alisema kwamba huu ndiyo wimbo wake kipenzi kutoka katika albamu ya Invincible. Wimbo hasa ulitungwa kun ...

                                               

By My Side

By My Side ni single ya kwanza ya rapa Jadakiss kutoka katika albamu yake ya tatu ya The Last Kiss. Wimbo ulitayarishwa na Eric Hudson na umemshirikisha mwimbaji wa R&B Ne-Yo. Ilipatwa kupigwa sana kwenye maredio na TV ingawa haikufika hata k ...

                                               

Chris Brown (albamu)

Chris Brown ni jina la kutaja albamu kwanza ya msanii wa muziki wa R&B-Kimarekani Chris Brown. Kama jinsi ilivyo kwa wasanii wengi wa Marekani, yaani, jina la msanii ndiyo jina la albamu - hasa za kwanza huwa wanatoa jina lao. Albamu ilitolew ...

                                               

Cry

Cry ni wimbo kutoka katika albamu ya Michael Jackson ya mwaka wa 2001, Invincible, wimbo umetungwa na mwimbaji wa R&B na mtunzi, R. Kelly, ambaye ndiye aliyekuwa akiimba sauti za nyuma. Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo tatu zilizotungwa na Ke ...

                                               

Dangerous (albamu)

Dangerous ni jina la kutaja albamu ya nane ya mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji, mfanyabiashara, kabaila, na mhisani wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa mnamo tar. 26 Novemba 1991. Imekuwa albamu yake ya pili kushika #1 k ...

                                               

David Archuleta (albamu)

David Archuleta ni jina la kutaja albamu ya kujiita ya mshindi wa American Idol ya msimu wa 7 mshindani David Archuleta. Ilitolewa mnamo tar. 11 Novemba 2008, nchini Marekani, ikiwa chini ya studio ya Jive Records. Albamu ilitunukiwa Dhahabu na R ...

                                               

Dirty Diana

Dirty Diana ni jina la kibao kilichotamba sana cha msanii wa rekodi za muziki wa pop wa Kimarekani, Michael Jackson. Kibao kilitolewa mnamo mwezi wa Aprili katika mwaka wa 1988. Kibao hiki kina maudhui sawa na yale ya wimbo wake wa awali wa "Beat ...

                                               

Diskografia

Diskografia ni utafiti na uorodheshaji wa rekodi za nyimbo. Neno linatokana na neno "diski", ambayo ilikuwa ikitumika sana kutajia muundo ambao ulikuwa ukitumika sana kwa jili rekodi za muziki kwenye karne ya 20, na -graph kiambishi tamati kinama ...

                                               

The Don Killuminati: The 7 Day Theory

The Don Killuminati: The 7 Day Theory ni albamu ya mwisho ya Tupac Shakur, chini ya jina jipya la Makaveli, aliimaliza kabla ya kifo chake na ya kwanza kutolewa baada ya kifo chake. Shakur alikamilisha ubunifu wa kila na kuweka jina la kava la al ...

                                               

Dreams

"Dreams" ni wimbo kutoka katika albamu ya kwanza ya rapa The Game - The Documentary. Wimbo ilitolewa mnamo mwaka wa 2005, ikiwa chini ya utayarishaji wake Kanye West. Wimbo imechukua baadhi ya vionjo vya wimbo wa "No Money Down" ulioimbwa na Jerr ...

                                               

Ease on Down the Road

Ease On Down the Road ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na wasanii wawili kati ya Diana Ross na Michael Jackson mnamo mwaka wa 1978. Wimbo ulishika nafasi ya 1 kwa wiki kadhaa. Kwa taarifa za Consumer Rapport, wimbo ulishika nafasi ya 19 kwenye c ...

                                               

East Coast hip hop

East Coast hip hop ni jina la fomu ya muziki wa hip hop ambao unaasili na kukuzwa mjini New York City, Marekani, mwanzoni mwa miaka ya 1970 na 1980. Mtindo huu ulianza kujulikana hasa baada ya wasanii wengine kutoka sehemu mbalimbali za Marekani ...

                                               

Fearless

Fearless ni jina la kutaja albamu ya pili ya msanii wa muziki wa country-pop wa Kimarekani, Taylor Swift. Albamu ilitolewa mnamo tar. 11 Novemba 2008 kupitia studio ya Big Machine Records. Albamu ilianza kushika nafasi ya kwanza katika chati za B ...

                                               

Finer Things

Finer Things ni wimbo wa DJ Felli Fel. Wimbo umepata kushirikisha wasanii wakali wa mamtoni. Wasanii hao ni pamoja na Kanye West, Jermaine Dupri, Fabolous, na Ne-Yo.

                                               

Forever

Forever ni jina la albamu ya tatu ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 2000. Hii ni albamu pekee walioitoa bila kuwepo kwa Geri Halliwell. Albamu imeona polomoko kubwa kabisa la mauzo ukifananisha ...

                                               

Forever, Michael

Forever, Michael ni albamu ya nne kutolewa na mwimbaji wa Kimarekani Michael Jackson. Albamu ilitolewa na Motown mnamo tar. 16 Januari katika mwaka wa 1975.

                                               

Girlfriend (wimbo wa Michael Jackson)

Girlfriend ni wimbo uliotungwa na Paul McCartney. McCartney alifikiria kwamba wimbo huu utamfaa Michael Jackson na anaweza kuupenda na kuurekodi, na alisema haya kwa Jackson wakiwa kwenye sherehe moja huko mjini Hollywood. Hata hivyo, McCartney a ...

                                               

Give In to Me

Give In to Me ni jina la kutaja wimbo wa kumi wa mwanamuziki Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Wimbo huu ulishika nafasi ya #1 nchini New Zealand kwa majuma manne, na namba #2 kwenye chati za UK Singles Chart. ...

                                               

God Is Good - Worship with Don Moen

God Is Good -Worship with Don Moen ni albamu ya muziki wa Kikristo iliyorekodiwa na Don Moen. Albamu ya kisasa ya kikristo ilirekodiwa papo kwa hapo kwa kuona na kusikia katika Chuo kikuu cha Liberty Lynchburg, Virginia, wakiwemo watu walioabudu ...

                                               

Gone Too Soon

Gone Too Soon ni wimbo hasa ulioimbwa na mwanamuziki Michael Jackson. Ni wimbo wa tisa kuchukuliwa kutoka kwenye albamu yake ya mwaka wa 1991, Dangerous. Ilishika nafasi ya #33 kwenye chati za UK Singles Chart mnamo mwezi wa Desemba 1993. Wimbo h ...

                                               

Got to Be There

Kwa makala ya nyimbo yenye jina sawa na hili, tafadhali fungua hapa Got to Be There ilikuwa albamu ya kujitegemea iliyotolewa wakati huo wa enzi za ujana wa Michael Jackson. Albamu ilitolewa na studio ya Motown Records, mnamo tar. 24 Januari kati ...

                                               

Got to Be There (wimbo)

Got to Be There ni wimbo wa mwaka wa 1971 uliotolewa na msanii wa rekodi za muziki Michael Jackson kwenye studio ya Motown. Huu ulikuwa wimbo wake wa kwanza kuimba akiwa kama msanii wa kujitegemea tangu hapo alivyokuwa mwimbaji kiongozi wa bendi ...

                                               

Gotham City (wimbo)

Gotham City ni wimbo ulioimbwa na mwimbaji wa R&B R. Kelly. Wimbo unatokana na jiji la hadithi ya mfululizo wa Batman la Gotham City, ambapo ndipo mahali pa makazi makuu ya Batman. Kibao hiki kiliwekwa kwenye orodha ya vibwagizo vya filamu ya ...

                                               

Greatest Hits (albamu ya Spice Girls)

Greatest Hits ni mkusanyikao wa vibao vikali vya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Na pia ndiyo albamu ya kwanza kutolewa baada ya miaka saba na ilisaidiwa na sindikizo la ziara yao ya kimataifa. Ilipata kutolewa moja kwa moja du ...

                                               

Greatest Hits (Fugees)

"Nappy Heads Remix Radio Edit" "Killing Me Softly With His Song" "Cowboys" "Vocab Refugees Hip Hop Remix" "The Sweetest Thing Mahogany Mix" "The Score" "Fu-Gee-La" "Ready Or Not Salaams Ready For The Show Remix" "No Woman, No Cry" "How Many Mics"

                                               

Hate That I Love You

Hate That I Love You ni wimbo wa mwimbaji wa muziki wa pop Bi. Rihanna. Ulitolewa ukiwa kama wimbo wa tatu kutoka katika albamu yake ya Good Girl Gone Bad. Wimbo umemshirikisha msanii wa mwingine wa R&B - Ne-Yo, ambaye pia alifanyakazi na Rih ...

                                               

Heal the World

Heal the World ni wimbo wa Michael Jackson kutoka katika albamu yake kali ya Dangerous, iliyotolewa mnamo mwaka wa 1991. muziki wa video wa wimbo huu unaonyesha watoto wadogo wanaoshi katika maisha magumu na ya tabu - hasa yale yasiyopumzika kati ...

                                               

HIStory: Past, Present and Future, Book I

HIStory: Past, Present and Future, Book ni albamu mbili za Michael Jackson, zilizotolewa mnamo tar. 20 Juni 1995, na ni albamu ya tisa ya Jackson. CD ya kwanza, iliitwa HIStory Begins ambayo imekusanya vibao vyake vikali vya miaka kumi na tano il ...

                                               

I Just Cant Stop Loving You

I Just Cant Stop Loving You ni jina la kutaja wimbo wa ballad ulioimbwa na Michael Jackson akimshirikisha Siedah Garrett. Wimbo huu umetungwa na Jackson, kiasili ulinuiwa uimbwe pamoja na wanawake vipenzi wa Jackson: aidha Barbra Streisand au Whi ...

                                               

I Wanna Be Where You Are

I Wanna Be Where You Are ni wimbo uliotungwa na Leon Ware na Arthur "T-Boy" Ross kwa ajili ya Michael Jackson. Wimbo ulishika nafasi ya kumi na sita kwenye chati za U.S. pop single na nafasi ya pili kwenye chati za U.S. R&B single kunako mwak ...

                                               

If I Cant

If I Cant ni wimbo wa nne na wa mwisho kutoka katika albamu ya kwanza ya msanii/rapa wa Kimarekani 50 Cent, Get Rich or Die Tryin. Wimbo huu umepata chati hafifu sana katika orodha ya nyimbo za 50 Cent zilizotolewa nchini Marekani. Ulitolewa mwak ...

                                               

If I Could Turn Back the Hands of Time

If I Could Turn Back the Hands of Time ni wimbo wa R. Kelly, ulitolewa ukiwa kama wimbo wa tano kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1998, R. Wimbo una mandhari ya ballad la kimapenzi lenye kumuhusu mtu mmoja anayetamani aurejesha muda uliopita ...

                                               

Ignition (wimbo)

Ignition ni wimbo uliotungwa na kutayarishwa na mwimbaji wa R&B R. Kelly. Wimbo huu umeingizwa kwenye albamu yake ya mwaka wa 2003 ya Chocolate Factory. Ulitazamiwa kama moja kati ya alama ya nyimbo zake na ulikuwa maarufu sana nchini Marekan ...

                                               

In da Club

In da Club ni wimbo wa hip hop ulioimbwa na rapa 50 Cent kutoka kwenye albamu yake ya kwanza ya kibiasha, Get Rich or Die Tryin. Wimbo ulitayarishwa na Dr. Dre kwa ushirikiano wa Mike Elizondo. 50 Cent, Dr. Dre, na Elizondo wameutunga wimbo huu. ...

                                               

Is This Love

Is This Love ni wimbo wa Bob Marley, umetolewa kwenye albamu yake ya mwaka wa 1978, Kaya. Wimbo umekuwa miongoni mwa nyimbo maarufu za Marley na ulikuwa moja kati ya sehemu za kompilesheni ya Legend. Ilishika nafasi ya #9 kwenye chati za UK wakat ...