ⓘ Free online encyclopedia. Did you know?
                                               

Waadhola

Waadhola ni kabila la Waniloti wanaoishi mashariki mwa Uganda walipohamia katika karne ya 16. Lugha yao ni Kiadhola Dhopadhola, mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.

                                               

Wabembe

Wabembe ni kabila la watu ambao wanaishi katika nchi zote za Maziwa Makuu ya Afrika. Wanapatikana kwa wingi Fizi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wanaishi katika nchi tofauti kama: Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia, Burundi, Kongo Brazzaville na ...

                                               

Wadinka

Wadinka ni moja ya makabila ya Sudani Kusini. Ndilo kabila kubwa zaidi nchini, wao ni asilimia kumi na nane ya watu wote wa Sudani Kusini. Kabila hilo lina matawi matatu: Bahr Ga Zal, Bor, na Apadang, na ndani ya matawi matatu kuna koo hamsini na ...

                                               

Wagisu

Wagisu ni tawi la kabila la Wamasaba linaloishi kwenye mlima Elgon, mashariki mwa Uganda. Wanahusiana sana na Wakusu wa Kenya. Leo wengi wao ni Wakristo.

                                               

Wahindi Weusi

Wahindi Weusi ni watu wenye asili ya Afrika ambao wanaishi katika nchi za India, Pakistan na Sri Lanka barani Asia. Kwa mwonekano Wahindi Weusi huwa na rangi nyeusi na maumbile ya Kihindi, pia nywele zao ni za singasinga kama walivyo Wahindi asil ...

                                               

Waik

Waik ni kabila la watu linaloishi katika milima ya kaskazini mashariki mwa Uganda, mpakani mwa Kenya. Lugha yao, Kiik, ndiyo iliyo hai zaidi kati ya lugha za Kikuliak, tawi la lugha za Kinilo-Sahara. Wanakadiriwa kuwa 10.000.

                                               

Wakaramojong

Wakaramojong au Wakarimojong ni kabila la watu wanaojihusisha na kilimo na ufugaji hasa wanaoishi kaskazini-mashariki mwa Uganda. Lugha yao inajulikana kama Kikaramojong au Kikarimojong, na ni sehemu ya kundi la lugha za Kinilo-Sahara.

                                               

Walango

Walango ni kabila la Waniloti wanaoishi kaskazini mwa Uganda. Wanakadiriwa kuwa 2.628.000 hivi. Lugha ya wengi wao ni Kilango Leb-Lango, mojawapo kati ya lugha za Kiniloti.

                                               

Wali

Kwa Wali kama cheo tazama "liwali" Wali ni chakula kitokanacho na nafaka, hasa mbegu ya mpunga inayoitwa mchele, baada ya kazi ya kuikoboa yaani kutoa maganda yake. Neno "wali" hutumiwa pia kwa nafaka za mtama au ngano zikipikwa, lakini kwa kawai ...

                                               

Walugbara

Walugbara ni kabila la watu wanaoishi kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kaskazini magharibi mwa Uganda, lakini pia kusini magharibi mwa Sudan Kusini. Lugha ya wengi wao ni Kilugbara, mojawapo kati ya lugha za Kisudani na ...

                                               

Wamadi

Wamadi ni kabila la watu wanaoishi kaskazini mwa Uganda na kusini mwa Sudan Kusini. Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 400.000. Lugha ya wengi wao ni Kimadi Madi ti, mojawapo kati ya lugha za Kisudani na leo dini yao ni Ukristo, lakini pia Uislamu.

                                               

Wanyoro

Wanyoro) ni kabila la mashariki mwa Uganda linaloongozwa na mfalme, kwa sasa Solomon Iguru I, ambaye ni wa 27 kwa Bunyoro-Kitara. Ufalme wa Bunyoro uliwahi kuwa na nguvu sana katika Afrika Mashariki na ya Kati kuanzia karne ya 13 hadi ile ya 19. ...

                                               

Waoropom

Waoporom walikuwa kabila la watu walioenea katika Kenya na Uganda ya leo kabla ya kuzidiwa na wavamizi wa makabila ya Kibantu, Kiniloti na mengineyo. Polepole walijichanganya nao hata kupotewa na lugha na utambulisho wao. Walikuwa na ufundi mkubw ...

                                               

Wasoga

Wasoga ni kabila la Kibantu linaloishi hasa mashariki mwa Uganda. Lugha yao ni Kisoga wao wanasema Lusoga ambayo inazungumzwa na watu 3.000.000 hivi. Leo wengi wao ni Wakristo.

                                               

Waturuki

Waturuki ni jumuiya 70 hivi za watu wanaotumia lugha ya Kituruki au mojawapo ya lugha zilizo karibu. Si muhimu kwao urithi wa kinasaba, kwa maana asili zao ni tofauti sana, ila polepole waliunganishwa na lugha, utamaduni na dini. Kwa maana nyingi ...

                                               

Yvonne Orji

Yvonne Anuli Orji alizaliwa tarehe 2 Desemba 1983 ni mwigizaji na mchekeshaji Mmarekani mwenye asili ya Nigeria. Anajulikana sana kwa uhusika wake katika filamu ya Insecure ya mwaka 2016, ambayo iliteuliwa kwenye tuzo za Primetime Emmy Award na N ...

                                               

Abdallah Possi

Dk. Abdallah Saleh Possi ni balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani. Amekubaliwa pia kama balozi Austria, Bulgaria, Ucheki, Ukulu mtakatifu, Hungaria, Poland, Romania na Uswisi. Kabla ya kuteuliwa kuwa Balozi, Dk Possi aliwah ...

                                               

Yael Abecassis

Bella ciao 2001, Nella Sipurei Tel-Aviv 1992, Sharona Haïm Ze Haïm 2003 Until Tomorrow Comes 2004, Daughter Kadosh 1999, Rivka Hunting Elephants 2013, Dorit Prisoners of War 2010, Talia Klein Hakita Hameofefet 1995 Survivre avec les loups 2007 Ma ...

                                               

Abela Paul Bateyunga

Abela Paul Bateyunga ni mjasiriamali na mwanasheria wa Tanzania, mshauri wa vijana na mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa shirika liitwalo Tanzania Bora, Sanaa pia ni mwanzilishi wa mradi uitwao She codes for change. Abela ni mtu wa vyombo vya ...

                                               

Adam David Lallana

Adam David Lallana ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa kushambulia klabu ya Ligi Kuu ya Liverpool ya Uingereza timu ya taifa ya Uingereza. Lallana alianza kazi yake ya ujana na Bournemouth kabla ya kuhamia Southampton ...

                                               

Ahmad Nassir

Ahmad Nassir Juma Bhalo alikuwa malenga Mswahili wa Mombasa. Kwa upande wa babake alikuwa Mtangana na kwa mamake alikuwa Mkilindini. Haya ni miongoni mwa makabila ya asili ya Kiswahili Cha Kimvita, yaani Mombasa. Kama watoto wengine wa Mombasa wa ...

                                               

Akbar

Jalaluddin Muhammad Akbar ; pia: Akbar Mkuu) alikuwa mtawala wa Uhindi kati ya 1556 hadi 1605. Huhesabiwa kuwa mkubwa kati ya watawala wa nasaba ya Moghuli. Alizaliwa 15 Oktoba 1542 akawa mfalme mkuu akiwa na umri wa miaka 13 baada ya kifo cha ba ...

                                               

Akina Dada Faioli

Akina Dada Faioli ni wanawake watatu wa familia moja ya Anticoli walioishi katika karne ya 18 na kuanzisha shirika la kitawa linaloitwa Masista wa Imakulata wa Mt. Klara.

                                               

Al Maktoum

Al Maktoum ni jina la familia ya nasaba tawala wa emirate ya Dubai, United Arab Emirates. Familia ya Al Maktoum ni tawi la kabila la Bani Yas, ukoo wa nguvu kutoka huko ndani. Familia ya Al Maktoum inashukia kutoka kwa sehemu ya Al Bu Falasah ya ...

                                               

Shaykh Abdullaah Swaalih Al-Farsy

Shaykh Abdullaah Swaalih Al-Farsy alikuwa mwanachuoni na mwanahistoria mkubwa wa Kiislamu na mmojawapo wa washairi wakubwa kutoka Zanzibar lakini baadaye alihamia Mombasa, Kenya. Alifahamka zaidi kwa kutafsiri Qurani tukufu kwa Kiswahili. Vilevil ...

                                               

Al-Ghazali

Abū Hāmid Muhammad ibn Muhammad al-Ghazālī, alikuwa mwalimu mashuhuri wa dini, falsafa na sheria ya Kiislamu. Anahesabiwa kati ya walimu wa dini muhimu zaidi katika historia ya Uislamu.

                                               

Aleister black

Tom Budgen ni mpambanaji mtaalamu wa Uholanzi. Hivi sasa amesainiwa kwenye WWE, ambapo hufanya kwenye chapa ya Raw chini ya jina la pete Aleister Black. Kabla ya kusainiwa na WWE, Budgen alifanya kazi kwa matangazo kote Ulaya, Mareka, na Japani, ...

                                               

Alexander Chambers

Alexander Chambers alikuwa afisa wa Jeshi la Marekani, aliyekuwa mkuu wakati wa Vita vya Vyama vya Marekani. Chambers alizaliwa Cattaraugus, New York. Alihitimu kutoka West Point na darasa la 1853 ambalo pia lilijumuisha John Schofield na Philip ...

                                               

Nadir Haroub Ali

Nadir Haroub Ali ni mchezaji wa kandanda akiichezea klabu ya Yanga Sc. Nafasi anayocheza ni beki wa kati pia ni nahodha wa timu hiyo huku mchezaji huyu wanamfananisha na beki wa zamani wa Italia Fabio Cannavaro.

                                               

Alois Nashali

Alois Nashali ni mwongozaji wa filamu na mwandishi wa vitabu mwenye makazi yake nchini Canada. Alishinda tuzo za Digi60 kwa sinema yake ya Beautiful Cracked Smile 2018. Filamu yake ya maandishi, Through the Lens of a Migrant 2017, imeonekana kati ...

                                               

Amabilis Batamula

Amabilis amekuwa akifanya kazi na Femina HIP kama Mkurugenzi wa habari kuanzia mwaka 2002. Amabilis amekuwa ndiye mhahiri mkuu wa jarida linalotolewa na Femina HIP lijulikanalo kama FEMA hapo zamani likijulikana kama FEMINA, ambalo limekuwa likis ...

                                               

Amelia Kajumulo Kivaisi

Amelia Kajumulo Kivaisi ni profesa mstaafu "emerita" wa mikrobiolojia tumizi. Alikuwa mwanachama mwanzilishi na mkuu wa kwanza wa Idara ya biolojia ya molekuli katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo amekua profesa kwa miaka 15. Kwa sasa anafa ...

                                               

Ana

Ana anaheshimiwa kama mama wa Bikira Maria na bibi wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia wala katika Kurani, isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo. Humo anatajwa pia mume wake ...

                                               

Andres Iniesta

Andrés Iniesta Luján ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Hispania anayecheza kama kiungo wa kati kwenye klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Hispania. Ni nahodha wa Barcelona F.C. Iniesta alitokea La Masia,akademi ya Barcelona,baada ya ...

                                               

Andy Chande

Jayantilal Keshavji alikuwa mfanyabiashara mkubwa, mhisani na mwanachama wa chama cha Freemasons aliyeheshimika kama mtu aliyefanya mambo yenye kuleta matokeo makubwa katika nchi yake ya Tanzania pamoja na kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ...

                                               

Angel Di Maria

Angel Fabian Di Maria ni mchezaji wa soka ambaye anachezea klabu Paris Saint German ya Ligi daraja la kwanza na timu ya taifa ya Argentina. Anaweza kucheza kama winga au kiungo mshambuliaji. Di María alihamia Ulaya mwaka 2007 ili kuichezea timu y ...

                                               

Anggun

Anggun Cipta Sasmi ni mwimbaji Indonesia ambaye sasa ana uraia wa Ufaransa. Alikuwa binti wa Darto Singo, msanii Kiindonesia, na Dien Herdina, mwanamke ambaye bado jamaa Sultani Palace. Alianza kazi yake kwa kuja juu ya hatua ya Ancol katika umri ...

                                               

Anthony Joshua

Anthony Oluwafemi Olaseni Joshua ni mwanamasumbwi wa Uingereza. Kwa sasa anashirika umoja wa uzito mkubwa, akiwa na cheo cha IBF tangu mwaka 2016, na majina ya WBA na IBO tangu Aprili 2017. Katika ngazi ya kikanda alifanya majina ya Uingereza na ...

                                               

Susan B.Anthony

Susan Brownell Anthony alikuwa kiongozi wa kutetea haki za wanawake nchini Marekani. Katika umri wa miaka 17 alikuwa mwalimu wa shule, lakini muda mfupi baadaye alijihusisha na mambo ya utumwa na unywaji pombe. Mnamo miaka ya 1850, alikuwa akifan ...

                                               

Neil Armstrong

Neil Armstrong alikuwa rubani mwanaanga wa Marekani aliyeshuka mwezini mwaka 1969, wa kwanza kabisa kati ya wanadamu wote.

                                               

Arturo Vidal

Arturo Vidal ni mchezaji mpira wa miguu ambaye hucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji au kiungo mkabaji. Mchezaji huyu, mwenye umri wa miaka 33 kamili, anachezea timu ya taifa ya Chile na ni mchezaji wa timu ya La liga ambayo inaitwa Barcelona na ...

                                               

Asha Daudi Abinallah

Asha Daudi Abinallah ni mwanamke Mtanzania ambaye ni mshauri wa vyombo vya habari na uandishi,mhamasishaji wa vijana.Pia anafundisha jamii kuhusu ufahamu wa jinsia na matumizi ya mitandao ya kijamii.

                                               

Ashoka

Ashoka alikuwa mtawala wa Uhindi kati ya 273 KK na 232 KK. Alizaliwa katika nasaba ya Maurya akafaulu kupanusha himaya yake juu ya maeneo ya nchi za kisasa za Uhindi, Pakistan, Bangladesh na Sri Lanka. Mara nyingi anatajwa kama mtawala mkuu katik ...

                                               

Jayne Atkinson

Jayne Atkinson ni mshindi wa Tuzo ya Tony, akiwa kama mwigizaji bora wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Karen Hayes kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24. Vilevile anafahamika kwa ...

                                               

Ato Malinda

Alizaliwa Kenya mnamo 1981, akiwa mtoto wa mama kutoka Kenya na baba kutoka Uganda. Alikulia Uholanzi na baadae alirejea Kenya. Baada ya Shule ya upili sekondari alikwenda Marekani kusomea historia ya sanaa na biolojia ya molekuli katika chuo kik ...

                                               

Augustino Ramadhani

Augustino S.L. Ramadhani alikuwa mwanasheria, mwanajeshi na mwanatheolojia kutoka Zanzibar, leo katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alijulikana hasa kwa huduma yake akiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, baadaye pia katika Tume ya Uchaguzi na Tume ya K ...

                                               

Sylvia Bahame

Sylvia Lema Bahame alikuwa Mrembo wa Tanzania kwa mwaka wa 2003. Sylvia alianza elimu ya msingi mkoani Arusha, baadae akaenda kumalizia nchini Saudia, Oman, kisha kujiunga na elimu ya sekondari akiwa hukohuko Saudia na kumaliza mwaka 2001.

                                               

Klaus Barbie

Klaus Barbie alikuwa mwanajeshi wa SS au Schutzstaffel-Hauptsturmführer, na pia alikuwa mmoja wa wanachama wa Gestapo. Alikuwa akifahamika kama the Butcher of Lyon au Mchinjaji wa Lyon.

                                               

Bayray McNwizu

Eberechukwu Nwizu anajulikana vyema kama Bhaira Mcwizu au Bayray McNwizu ni mwigizaji wa Nigeria. Alipata umaarufu baada ya kushinda onyesho la tatu la Amstel Malta Box Office reality show. Mnamo 2009, alipokea uteuzi wa Tuzo za Africa Movie Acad ...

                                               

Beatrice Wanjiku

Beatrice Wanjiku ni msanii wa kujitegemea wa nchini Kenya katika sanaa za maonyesho anaefanya kazi zake za sanaa katika mji mkuu wa Kenya wa Nairobi.

Users also searched:

...